STAILI ZA KU DO MAPENZ KWA WANANDOA. - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Sept 2015

STAILI ZA KU DO MAPENZ KWA WANANDOA.




Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya map#nz, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Mimi nasema hivii, staili nzuri ya kufanya Map#nz inategemea na Mwenza wako, mathalani mwenzio ni mnene au ana umbile kubwa huwezi ukamwambia ulale chini halafu akulalie juu, nadhani utakuwa unataka kuvunjwa kiuno kama sio kuteguka kabisa. Kiukweli ziwezi weka picha fulani hapa directly kwa ajili ya kulinda maadili, hivyo basi staili kulingana na umbile lako na la mwenza wako hutegemea na umri wenu pia, na ndio maana vijana hadi umri wa miaka 38 hivi ni wafanyaji wazuri wa map#nz ukilinganishwa na watu wazima au wazee kabisa. 
Hivyo namalizia kwa kusema staili ya mapenzi hutegemea:- Wapnz, Umri wao, Mazingira ya uwanja na Maandalizi yao Kifikra na Hali za afya za wahusika. Kama utahiji zaidi nitumie e mail nami ntakutumia FILE lina sampo nzuri na maelezo haya kwa kirefu.