Aliyekua mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 Edward Lowassa aliyatoa haya maneno mbele ya Wananchi wa Arusha kwenye kampeni za ubunge ambapoGodbless Lema anagombea ubunge wa Arusha mjini, Lowassa alisema bado ana imani siku moja ataingia Ikulu, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumsikiliza.
11 Dec 2015
New