New
Pole Sana Diamond Platnumz inasikitisha mtoto mdogo kusemwa midomoni mwa watu kuwa wewe sio Baba yake ,Wakomeshe wanaosema Tiffa si wako, wabandikie matokeo ya DNA Kama ulivyobandika ya ujauzito. Utawakata midomo kama alivyofanya Rafiki yako Ney wa Mitego.....