Dr. JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI LEO TAREHE 10 DESEMBA 2015 HILI HAPA. - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Dec 2015

Dr. JOHN POMBE MAGUFULI ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI LEO TAREHE 10 DESEMBA 2015 HILI HAPA.














Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
- Augustino Mahiga, Naibu Waziri - Dk. Suzan Kolimba


Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye


Wizara ya Nishati na Madini
Waziri -Sospeter Muhongo na Naibu Waziri-Medard Kalemani


Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri -Jenista Mhagama


Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala
mawaziri wawili - Simbachawene na Kairuki

Ofisi ya Makamu wa Rais/Muungano na Mazingira
Waziri - January Makamba Naibu waziri Luhaga Mpina.

Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri ni Charles Kitwanga

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi
Waziri wake ni Wiliam Lukuvi Naibu Angelina Mabula.

Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri - Husein Mwinyi