Lowassa Afunguka....Gwajima ni Mnafiki...... - MULO ENTERTAINER

Latest

31 Dec 2015

Lowassa Afunguka....Gwajima ni Mnafiki......


Hivyo ndivo linavosomeka gazeti la WEMBE, huenda ameback fire ile kauli ya Gwajima aliodai hakuwahi kumuunga mkono ilhali hata mwendawazimu hahitaji evidence ili ajue Gwajima ni muongo au ni mkweli.
Kweli magufuli kaleta kiwewe, MTU akifikria anatembelea hammer, helkopter, anaishi kwenye mahekalu, imebidi kujipendeza najua ushaelewa kinacholindwa hapo.