Nisher Aeleza Kwanini Ameamua Kuweka Wazi Mahusiano yake ya Kimapenzi Mtandaoni (Picha) - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Dec 2015

Nisher Aeleza Kwanini Ameamua Kuweka Wazi Mahusiano yake ya Kimapenzi Mtandaoni (Picha)


Muongozaji wa video, Nisher ameweka wazi sababu inayomfanya aweke wazi picha za mahaba akiwa na mpenzi wake katika mitandao ya kijamii.

Nisher amesema kufanya hivyo kunamweka mbali na wasichana wengine wanaomsumbua.

“Naona ni vyema zaidi kuwa wazi na mkweli, inasaidia kupunguza usumbufu,” ameiambia Bongo5.

“Ndoa inakuja, ila hamna haraka yoyote bado kwa sababu tupo vizuri na mambo mengine taratibu.”



TOA MAONI YAKO HAPA CHINI