Hii Kolabo Ya Zitto Na Lissu Ni Hatari Tupu! Yamtoa Jasho Chenge - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Jan 2016

Hii Kolabo Ya Zitto Na Lissu Ni Hatari Tupu! Yamtoa Jasho Chenge

Kwa mara ya kwanza namwona nimemshuhudia Mwanasheria msomi kutoka Harvard Bw Andrew Chenge akibabaika baada ya kukumbana na kibano kikali cha hoja nzito kutoka kwa Zitto Kabwe na Tundu Lissu kuhusu kukiukwa kwa kanuni za bunge juu ya hoja iliyowasilishwa na wizara ya fedha na mipango.Hoja ya Zitto imepelekea kikao cha bunge kuahirishwa mpaka jioni.Hongera Zitto na Lissu,endeleeni kumfunda Bw Chenge kuhusu sheria na kanuni za binge mpaka aelewe.CCM walidhani watawadhibiti wabunge wa upinzani kupitia Chenge,imekula