Kambi Rasmi Ya Upinzani Yagoma Kusoma Hotuba Yao Bunge Lasitishwa - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Jan 2016

Kambi Rasmi Ya Upinzani Yagoma Kusoma Hotuba Yao Bunge Lasitishwa

Bunge
Kwa mara nyingine bunge limesitisha shughuli zake baada ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kugoma kusoma hotuba yao ya mpango wa maendeleo wa miaka mitano.

Hali hiyo imejitokeza baada ya Mh Zitto kuomba mwongozo na kusema "Serekali imefanya makosa kwa kuwasilisha mpango huo kwa mwaka mmoja mmoja jambo ambalo ni kinyume na kanuni na katiba yetu
Wakati Zitto anaomba mwongozo, alimwomba mwenyekiti wasitishe shughuli mpaka marekebisho yakafanyike. Lakini Chenge alikataa, Cha kushangaza baada ya upinzani kugoma kuwasilisha Hotuba yao ghafla alisitisha.

Nimejiulizaa alichomkatalia Zitto ni nini na alichokuja kukifanya ni nini?