WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA SUBIRI KWANZA TUJARIBU TUONE KWA HIYO AKAMWAMBIA SIKU YA KUFANYA HILO TENDO ASILE KITU CHOCHOTE KUANZIA SAA TANO NA MIDA YA JIONI WAWEZE KUFANYA KITU HICHO..BAADA YA KUFANYA HICHO KITU KESHO YAKE WEMA AKAANZA KUTEST MKOJO NA VIPIMO VYAKE KUONA KAMA AMENASA MARA VIPIMO VIKAONESHA KAMA AMENASA.BAADA YA KUONA HIVYO AKAPAGAWIKA NA AKAONA NI BORA AENDE KWA DAKTARI WAKE ILI APATE UHAKIKA ZAIDI.
DAKTARI NAYE AKATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI AMEPATA MIMBA.MTANDAO HUU WA UDAKU UNAWAPA HONGERA SANA WEMA SEPETU NA IDRIS