Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016.. - MULO ENTERTAINER

Latest

2 Jan 2016

Jina la Diamond Platnumz kwenye list ya washindi wa Tuzo nyingine Nigeria mapema kabisa 2016..

2016 mwaka mwingine unaoanza vizuri kwa muziki wa Bongofleva wenye mizizi yake Tanzania ambapo usiku wa January 01 2016 zimetolewa Tuzo za HEADIES Awardsndani ya Lagos Nigeria.
List kamili ya washindi imetoka ambapo kati yao staa wa muziki anayewakilisha Bongo 255, Diamond Platnumz nae yumo… Tuzo hizi zinawahusu mastaa wa Nigeria lakini kuna category moja tu ya wasanii toka nje ya Nigeria ambayo Diamond kawashinda akina Cassper Nyovest, AKA na Uhuru wa Afrika Kusini, pamoja na Sarkodie wa Ghana.
Washindi wote wa Tuzo za HEADIES 2015 hii hapa.
  • Best Street-Hop Artiste – Olamide (Bobo)
  • Best Pop Single –Korede Bello (Godwin)
  • Best Vocal Performance (Male) – Timi Dakolo (Wish Me Well)
  • Best R&B Single – Timi Dakolo (Wish Me Well)
  • Best Rap Single – Vector (King Kong)
  • Hall of Fame Recipient – 2Face Idibia
  • Best Vocal Performance (Female) – Aramide (Iwo Nikan)
  • Best Reggae Dancehall Single – Cynthia Morgan (German Juice)
  • Best Music Video – Unlimited LA for Reekado Banks (Katapot)
  • Best Collaboration – Reminisce Feat. Olamide & Phyno (Local Rappers Remix)
  • Best Rap Album – M.I Abaga (Chairman)
  • MTN Music+ Next Rated – Landy (Akanchawa)
  • Producer of the Year – Legendury Beatz (Ojuelegba)
  • Lyricist of the Year – Vector (King Kong)
  • Next Rated Artiste – Reekado Banks
  • Hip-Hop World Revelation of the Year – Yemi Alade
  • Recording of the Year – Timi Dakolo (Wish Me Well)
  • Best Alternative Song – Adekunle Gold (Sade)
  • Special Recognition –  Don Jazzy
  • Best RnB & Pop Album – Wizkid (Ayo)
  • Song of the Year – Wizkid (Ojuelegba)
  • Artiste of the Year – Olamide
  • African Artist of the Year –Diamond Platnumz
Hii ni post ya video aliyoweka Sallam, mmoja wa Manager wa Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake @Instagram.
FOLLOW INSTAGRAM @dr_longinus