Diamond apewe Dola 40,000 amuache Zari ili akalee wanae Afrika ya Kusini - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Jan 2015

Diamond apewe Dola 40,000 amuache Zari ili akalee wanae Afrika ya Kusini



Katika Hali ya Kushangaza Jana kwenye Mitandao hasa Instagram aliibuka mtu anayejiita Kinglaurenc ambae inasemekana ni rafiki wa Baba watoto wa Zari Akimtaka Mwanamuziki Diamond Kupokea Dola za Kimarekani elfu 40,000 ili amwache Zari Akalee Watoto Wake..Hii imekuja baada ya Zari muda wote kuonekana kuzunguka na Diamond katika Show zake huku akiwaacha watoto wake na baba yao South Africa.


Je wewe Mdau Unamshaurije? Achukue na kuachana na Zari ama Apotezee?