Kundi la Mziki la NavyKenzo Kukinukisha Mbeya Uzinduzi wa Viva Night Club Jumamosi Hii Tarehe 23 January 2016 - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Jan 2016

Kundi la Mziki la NavyKenzo Kukinukisha Mbeya Uzinduzi wa Viva Night Club Jumamosi Hii Tarehe 23 January 2016

Wakazi wa mbeya, karibuni kwenye uzinduzi wa club ya viva night iliyopo maeneo ya forest kwa kiingilio cha 10,000 jumamosi hii. Kundi la Navykenzo linaloundwa na Nahreel na Aika Kutoka Dar es Salaam Watakuwepo kutoa Burudani ya Nguvu Ambayo Haijawahi kutokea na Nyimbo zao kama Game, Visa, Moyoni, Bokodo, Hold me Back na nyininge nyingi