Nay wa Mitego 'Mwanaume Niliyomfuma na Mwanamke Wangu Kitandani Alikuwa Amevaa Boxer Yangu - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2016

Nay wa Mitego 'Mwanaume Niliyomfuma na Mwanamke Wangu Kitandani Alikuwa Amevaa Boxer Yangu

Nay wa Mitego na Siwema
Nay wa Mitego akihojiwa na kipindi cha Leo tena clouds radio kasema ni mengi sana yalitokea lakini hakuyaongea na alimpenda kwa dhati binti huyo na alikua na mipango nae mikubwa...
Amedai Siku Ambayo alimfumania Mchumba wake Kitandani akiwa na mwanaume mwingine huyo Mwanaume alikuwa amevaa Kaptula ya ndani (Boxer) yake...

Tukio hilo lilitokea Mwaka jana ambao kwa sasa wawili hao wameshaachana na kila mmoja akiwa na maisha yake...