Rais Magufuli Hataniii....Hatimaye Jumba la Kifahari la Mchungaji Getrude Rwakatare Lawekwa Alama ya Kubomolewa - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Jan 2016

Rais Magufuli Hataniii....Hatimaye Jumba la Kifahari la Mchungaji Getrude Rwakatare Lawekwa Alama ya Kubomolewa

Baada ya nyumba ya Dr. Reginald Mengi kudaiwa kuwa itabomolewa... Nyumba ya Mchungaji Getrude Rwakatare (aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM Bunge lililopita) nayo kubomolewa!