Yanga Yaichakaza Ndanda FC Jioni ya Leo Yafikisha Point 36 - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Jan 2016

Yanga Yaichakaza Ndanda FC Jioni ya Leo Yafikisha Point 36

          

Goli la Yanga African lilifungwa na Kelvin Yondani katika Dakika ya 61 ya kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Yanga Simon Msuva kuchezewa madhambi ndani ya jumba la penati.
Ushidi huo unaiweka Klabu ya Yanga African kileleni mwa ligi kwa Pointi 36.