Ajari Mbaya Dar Yachukua Uhai wa Kijana Kelvin Kaloosh - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Feb 2016

Ajari Mbaya Dar Yachukua Uhai wa Kijana Kelvin Kaloosh

Ajali hii imetokea jijini Dar, karibu na Ubalozi wa Kenya usiku wa kuamkia leo.

Pole sana wafiwa na wote walioguswa na msiba huu Hasa wasanii na watu maarufu hapa mjini

Binafsi nimesikitika Sana ;

Mwendokasi unaua...
Usinywe pombe na kuendesha...
Usiendeshe huku ukituma sms...
Usiendeshe ukipapasa mwanamke mapaja...


RIP Kelvin Kaloosh