Diamond Platnumz Afunguka Kuhusu Wimbo wake Mpya Anaeutoa Ijumaa Hii...Soma Hapa Alichosema - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Feb 2016

Diamond Platnumz Afunguka Kuhusu Wimbo wake Mpya Anaeutoa Ijumaa Hii...Soma Hapa Alichosema


AFRICA!!!! i know you been waiting for this...and it's ready for You!... TANZANIA + SOUTH AFRICA = HIT..this Friday!

( kwanza kabisa ningependa kumshkuru Mwenyez Mungu kwa kuweza katusaidia kufanikisha ndoto zetu za Bongo falvour kuweza kuingia na kupata nafasi nzuri West africa... kama nilivyoahidi na kuzungumza mwanzo kuwa mwaka huu Moja ya Mission zangu ni kuhakikisha pia Muziki wetu unapata nafasi nzuri South Africa na America... tafadhali usiache kunisupport ili kwa pamoja tuufikishe mziki wetu Kileleni...) #MakeMeSing @akaworldwide X @DiamondPlatnumz Drops on Friday!