Dr. Slaa na Mpenzi Wake Kufunga Ndoa Nchini Canada - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2016

Dr. Slaa na Mpenzi Wake Kufunga Ndoa Nchini Canada


Aliyekuwa katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbroad Slaa na Josephine Mushumbusi kubariki ndoa nchini Canada kabla ya sikukuu ya Pasaka itakayoadhimishwa mwishoni mwa mwezi wa tatu.