Huyu Hapa Ndio Mwanafunzi Mchina Aliyeshika Nafasi ya Pili Matokea ya Kidato cha Nne Yaliyotoka Jana - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Feb 2016

Huyu Hapa Ndio Mwanafunzi Mchina Aliyeshika Nafasi ya Pili Matokea ya Kidato cha Nne Yaliyotoka Jana

Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne Feza Girls 2015 , Mtanzania mwenye asili ya China, Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa ,amepata Divisheni 1.7 yenye 'B' ya Kiswahili!

Nini maoni yako?