New
Waigizaji Batuli na Ray ni kama wana bifu la chini chini baada ya kurushiana maneno InstagramPicha ilianza pale Lemutuz alivyoshare Tangazo la Movie yao mpya iitwayo tajiri mfupi kwenye page yake ya Instagram ambapo Mwigizaji Batuli Aliandika kwenye picha hiyo maneno yafuatayo