Nay wa Mitego Akanusha Wimbo Wake Kufungiwa na Basata...Adai Hata Kama Wakiufungia Wamechelewa Kwani Mpaka Panya Wanaujua Tayari - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Feb 2016

Nay wa Mitego Akanusha Wimbo Wake Kufungiwa na Basata...Adai Hata Kama Wakiufungia Wamechelewa Kwani Mpaka Panya Wanaujua Tayari

Nay wa Mitego Amafunguka Haya Katika Ukurasa wake wa Instagram:
"Pale unaposikia eti kuna wasiopenda kuambiwa Ukweli wamezusha Eti Wimbo wa ShikaAdabuYako Basata wamefungia. 
Guys Wimbo haujafungiwa na Basata awajafungia Wimbo ila wale wenye Team zao kwenye mitandao wamechanwa kwenye #ShikaAdabuYako ndio wameufungia kwenye Masikio Yao sababu ya hawataki kusikia fact wame publish habari za kufungiwa. Ata ingekua kweli umefungiwa wamechelewa sanaaa coz mpaka Panya wanajua tayari #TrueBoy keshakiwashaaaaa" 
Nay wa Mitego
WIMBO HUU HAPA