Picha: Ray Baada ya Kudai Siri ya weupe wake ni Kunywa Maji, Watu Mbali Mbali Waanza Kampeni... - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Feb 2016

Picha: Ray Baada ya Kudai Siri ya weupe wake ni Kunywa Maji, Watu Mbali Mbali Waanza Kampeni...

Baada ya Ray Kigosi kuweka wazi kuwa anakunywa sana maji ndio maana anakuwa mweupe, Godzilla pamoja na mashabiki mbalimbali katika mitandao ya kijamii wamenza kufanya zoezi hilo kwa kuwahamasisha watu kunywa maji ili na wao wapate upako huo.

Hivi karibuni Ray Kigosi kupitia kipindi cha Enewz cha East Africa Television alidai kuwa weupe wake una sababishwa na kunywa maji ya kutosha pamoja na kufanya mazoezi.