Uwepo wa Askofu Gwajima Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli na Wazee wa Dar es Salaam Wazua Maswali..... - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Feb 2016

Uwepo wa Askofu Gwajima Kwenye Mkutano wa Rais Magufuli na Wazee wa Dar es Salaam Wazua Maswali.....

Uwepo wa Askofu Gwajima kwenye mkutano wa Rais Magufuli na Wazee wa Dar es Salaam jana umepokelewa kwa hisia tofauti.

Nini maoni yako?