ALI KIBA Asikia Kilio cha Mashabiki Wake..Abadili Uongozi Wake na Kusema Haya - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Mar 2016

ALI KIBA Asikia Kilio cha Mashabiki Wake..Abadili Uongozi Wake na Kusema Haya


Kupitia Magic Fm jana Alikiba alisema kuwa amebadili uongozi wake na baadhi ya watu hawatokuwepo kabisa.

Ukitaka kujua nimebadili ngoja uone kwa sasa mambo yatakavyokuwa fans wangu wanataka bampa to bampa sasa nitakuwa natoa ngoma shabiki zangu wanavyotaka” alisema Kiba

Vugu vugu la kubadili uongozi lilianza kwa mashabiki ambao walisema kuwa uongozi huo unamchelewesha vitu vingi ikiwemo ku-promote kazi zake.

Pia Kiba amesema amefurahishwa na ujio wa Lady Jaydee katika uongozi mpya ambao pia wata simamimiwa na rockstar4000, kiba amesema atafaidika sana na Jay de haswa kutokana na ukongwe wa msanii huyo.