Basi la Princess Muro Laacha Njia na Kuingia Kwenye Kituo cha Mabasi ya Mwendo Kasi - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Mar 2016

Basi la Princess Muro Laacha Njia na Kuingia Kwenye Kituo cha Mabasi ya Mwendo Kasi



Basi la kampuni ya Princess Muro lapata ajali baada ya kupoteza mwelekeo na kuingia kituo cha Magari ya Mwendo kasi Kimara jijini Dar es Salaam.Endelea kufuatilia taarifa zetu tutakujuza kwa kina zaidi taarifa hii.