Je Diamond Platnumz Alikutana na Huddah Monroe Alivyokuwa Las Vegas Hivi Karibuni? Picha Yazua Utata - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Mar 2016

Je Diamond Platnumz Alikutana na Huddah Monroe Alivyokuwa Las Vegas Hivi Karibuni? Picha Yazua Utata

Nchini Kenya limeibuka swali la je Diamond Platnumz alikutana na Huddah Monroe alivyokuwa Las Vegas hivi karibuni?

Swali hili limeibuka baada ya picha inayoonyesha gari aliyopanga Diamond likiwa kwenye picha aliyopiga Huddah Monroe ambaye alikuwa Sin City kwenye tamasha kubwa huko Las Vegas Hotel & Casino.

Diamond Platnumz na Huddah Monroe walipoz kwenye gari moja ambayo imeonekana kuwa na Rim zilizofanana.