Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa? - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Mar 2016

Kwanini Sisi Wanawake/Wasichana Wanene na Wenye Makalio Hatupati Waume wa Kutuoa?

Nimefanya uchunguzi yakinifu na nikajiridhisha kwa 95% kuwa sie wanawake wanene na wenye makalio makubwa huwa ni ngumu sana kuolewa, kwa nini?

1. Tunaongoza kwa kuwa vimada kwa waliooa, lakini sisi hatuolewi:
(a) Miili yetu imepitwa na wakati?
(b) Labda wanadhani tutashindwa mechi?.

2. Tufanyaje ili nasi tupate wanaume wa kutuoa?
(a) Tuifanyie miili yetu diet/tujikondeshe ili tuwe wembamba,
(b)Tuanze kuwatongoza wanaume.

NALILETA MEZANI TULIJADILI.