Lil Wayne na Birdman bado mambo si shwari... Je wajua tatizo nini?? hebu cheki hapa... - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Mar 2016

Lil Wayne na Birdman bado mambo si shwari... Je wajua tatizo nini?? hebu cheki hapa...

birdman-og-waynecrop
birdman-og-waynecrop
Mtu wakaribu na rapa Lil Wayne ‘Mannie Fresh’ amesema rapa huyu na baba yake wa kufikia Birdman bado hawana mahusiano mazuri.
Mannie Fresh,Lil Wayne, Juvenile, na Birdman walifanya wimbo mmoja mwezi uliopita “Hate,”.
Mannie anasema amewashauri wamalize mambo yao chini chini kama familia na sio kwenye vyombo vya habari