Rihanna apata pigo kubwa kwenye ziara yake ya ANTI. - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Mar 2016

Rihanna apata pigo kubwa kwenye ziara yake ya ANTI.

the-weeknd-rihanna
Msanii mkubwa anayeshikilia sehemu kubwa kwenye ziara ya Rihanna ya “ANTI World Tour” The Weeknd amejitoa kwenye ziara hio.
Roc Nation imetangaza kuwa msanii huyu hatakuwepo kwenye ziara ya Rihanna  na nafasi yake imechukuliwa na Abel na Big Sean.