Mambo matano Nay wa Mitego hatosahau toka aachie ‘shika adabu yako’ - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Mar 2016

Mambo matano Nay wa Mitego hatosahau toka aachie ‘shika adabu yako’

Msanii wa bongofleva Nay wa Mitego amekaa kwenye mahojiano na Millard Ayo na kuzungumzia experience ya single yake ya ‘shika adabu yako’ ambayo ndani yake amewachana baadhi ya mastaa wa Tanzania.
Kwenye hii Exclusive Interview Nay amezungumzia pia tukio la kioo cha nyuma cha gari lake kuvunjwa na watu asiowajua wakati akiwa ameshuka na kuingia stationary, mambo yote matano kayataja kwenye hii video hapa chini.