Video mpya ya Tyga ‘$ervin Dat Raww’ itazame hapa. - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Mar 2016

Video mpya ya Tyga ‘$ervin Dat Raww’ itazame hapa.

Tyga-Eviction
Rapa Tyga ametoa video ya wimbo wake wa “$ervin Dat Raww,” kutoka kwenye mixtape ya Rawest Ni**a Alive mixtape.
Wimbo wa “$ervin Dat Raww” unakuja baada ya video ya “I $mile, I Cry,” ambayoyupo mtoto wake King Cairo.