Video Mpya ya Wimbo wa Vanessa Mdee_-_Niroge Itazame Hapa ..... - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Mar 2016

Video Mpya ya Wimbo wa Vanessa Mdee_-_Niroge Itazame Hapa .....

Single yake iliyopita ilikua ‘Never Ever‘ na aliitoa October 2015 na sasa ni March 24 2016 katuletea hii mpya inaitwa ‘Niroge’ naomba ukishaitazama niachie comment hapa chini na Vanessa atapita hapa badae kujua mashabiki wake wamesemaje kuhusu huu mdundo wake mpya...