VIDEO: TB Joshua alivyozitembelea nyumba za Dr. Magufuli, Edward Lowassa na Ikulu Tanzania - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Mar 2016

VIDEO: TB Joshua alivyozitembelea nyumba za Dr. Magufuli, Edward Lowassa na Ikulu Tanzania

Timu ya Muhubiri TB Joshua kutoka Nigeria imeionyesha video kwa ufupi ya jinsi Muhubiri huyu alivyokuja Tanzania na kuwatembelea Rais Kikwete aliyekua akimaliza muda wake madarakani, Dr. John Pombe Magufuli na Edward Lowassa, ni ziara ambayo aliifanya November 2015 lakini video yake ya tukio hili imewekwa kwenye ukurasa wa kanisa la TB Joshua March 2016