Zitto Kabwe Amshukia Tena Magufuli, Hasara ya 36 Bilioni Toka Aingie Madarakani - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Mar 2016

Zitto Kabwe Amshukia Tena Magufuli, Hasara ya 36 Bilioni Toka Aingie Madarakani

Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendenza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni ( kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ).
Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani".-Zitto Kabwe