EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel Kaelezea Siku Mose Iyobo Alipohisi Mtoto Sio Wake - MULO ENTERTAINER

Latest

28 May 2016

EXCLUSIVE: Aunty Ezekiel Kaelezea Siku Mose Iyobo Alipohisi Mtoto Sio Wake

Mwigizaji Aunty Ezekiel amekaa kwenye Exclusive ya AyoTV na kuelezea vitu kadhaa kwenye mapenzi yake na Dancer wa Diamond Platnumz  Mose Iyobo ambapo miongoni mwa alivyoongelea ni pamoja na siku ambayo Mose alihisi ujauzito aliokua nao Aunty sio wa mtoto wake.

‘Kwanza Mose Iyobo aliniambia niitoe hii mimba nilipomuuliza kwanini akasema najua wewe Aunty Ezekiel huwezi kuzaa na mimi, akaniambia hajajipanga sababu ana mtoto mwingine, nilimwambia hii mimba ni yangu na kila afanye maisha yake kama ni hivyo….‘ – Aunty Ezekiel