Video : Ommy Dimpoz Ana Utajiri wa Milioni 400? Msikie Mwenyewe Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

28 May 2016

Video : Ommy Dimpoz Ana Utajiri wa Milioni 400? Msikie Mwenyewe Hapa

Basi Dimpoz atakua na pesa ndefu, Ommy Dimpoz anapiga madili ya hela ndefu. Siku chache zilizopita Ommy Dipoz akiwa na mastar wenzake alipokea simu ya dili la milioni 400 unajua alichokisema???? Utashangaa sana hebu mskie mwenyewe kwenye video hii.....