Baada ya mfungo wa ramadhan Shilole arudia mambo haya. - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Jul 2016

Baada ya mfungo wa ramadhan Shilole arudia mambo haya.

MSANII Shilole kila siku huwa haishiwi na vipya,ambapo leo hii ikiwa ni siku moja tu baada ya kumaliza mfungo wa mwezi mtukufu,staa huyo ambaye pia ni mpenzi wa zamani wa Msanii Nuh Mziwanda amerudia hali yake ya kawaida.

Shilole maarufu kama SHISHI BABY leo ameonyesha kuwa mwezi wa Ramadan ulikuwa mgumu kwake kutokana na life style yake ya maisha aliyoizoea.
Katika Mwezi mtukufu staa huyo alikuwa akitupia viwalo vya kidini KWELI,lakini baada ya mwezi huo kuisha sasaa,Shilole karudia viwalo vyake kaamaa vya zamani,tazama hapo picha alizopost katijka instagram.