Nay wa Mitego Aanza Kuuza Mkaa Baada ya Kufungiwa Muziki...Tazama Video Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Aug 2016

Nay wa Mitego Aanza Kuuza Mkaa Baada ya Kufungiwa Muziki...Tazama Video Hapa

Mchekeshaji Stan Bakora ameendelea na utani wake ambapo Ijumaa hii ameachia video ya kumdhihaki rafiki yake Nay wa Mitego baada ya kufungiwa na BASATA.
TAZAMA VIDEO: