Wapi Ney wa Mitego? - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Oct 2016

Wapi Ney wa Mitego?

Fiesta not reachable, duuuuh.....!!

Longa nasi msaani wetu Ney wa mitego, nini kimekukuta? Au ulikuwa kanjanjaa bro ukatulisha matango poli..!?

Nimemis ili ngoma, ITAFAHAMIKA TU.. au unasoma game uje kama KING GK?

Maisha mema brooo, mwenzio nimeshakuwa mganga wa kienyeji. Naamka na kaniki, naenda kwenye kijumba cha kazi aka Msonge.. naagiza kuku na mbuzi kwa sana, siagizi tembele..