Vijana Wawili wa CHADEMA Wakamatwa Kwa Kudaiwa Kueneza Ujumbe wa Kichochezi - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Aug 2016

Vijana Wawili wa CHADEMA Wakamatwa Kwa Kudaiwa Kueneza Ujumbe wa Kichochezi

Vijana wawili wa CHADEMA huko Mbeya wamekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Mbeya kwa kudaiwa kusambaza ujumbe wa kichochezi kwa kutumia simu.

Vijana hao ni Moses Ezekia Mwaifumba ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa BAVICHA Mbeya na mwenzake Meshack Yohana Mgaya mwenye umri wa miaka 28 ambaye polisi wamedai alikuwa anashirikiana na mtuhumiwa huyo
Video: