Siasa>>Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Jan 2015

Siasa>>Mbunge Joseph Mbilinyi apata ajali milima ya Kitonga



Mh.Sungu Mbunge wa Mbeya Mjini  amenusurika ajali leo akiwa katika harakati za kudelete magamba maeneo ya mlima kitonga.
Tuchukue frusa hii kumtakia pole kamanda wetu mungu amwepushe na mabalaa haya,Ni ulozi tu wa migamba Pole saaana Mh Sugu, tunamshukuru Mungu kukuepusha kwa ajali hio mbaya.

Habari zinadai kuwa ajali hiyo imesababishwa na Break za Gari Kushindwa kufanya kazi wakati wanateremka katika mlima huo mkali ikabibidi waigongeshe ukutani maana bila hivyo wangetumbukia korongoni.
Wote waliokuwa katika gari hilo wapo Salama Kabisa..