Sallam, Meneja wa Diamond Kuja na Kituo Chake Cha Redio - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Sept 2016

Sallam, Meneja wa Diamond Kuja na Kituo Chake Cha Redio

Meneja wa Diamond Platnumz, Sallam anatarajia kuanzisha redio yake ya mtandaoni (online radio).

Taarifa hiyo ilitolewa na Romy Jons, anayedai atakuwa mmoja wa watangazaji wa redio hiyo itakayojulikana kama DSM FM.