Hata maandiko matakatifu yameandikwa mwanaume utahangaika juani ili
umlishe mkeo na mwanamke atazaa kwa uchungu, sasa imekua siku hizi
wanaume kumhudumia mwanamke imekua ni kulia lia sana mwanaume wa ukweli
anatakiwa ajue mpenzi wake au mke anamhudumia vipi.
Hivi mnadhani nyie wavulana unakua hujaoa una mpenzi tu unataka aishi vipi unakuta unatoa vielfu 50 unalalamkika mpaka povu linakutoka unataka kumiliki msichana mrembo mzuri huku unatoa kihamsini unalalamika sana starehe gharama ukiona vyapendeza ujue vimegharamiwa.
Ebu kueni wastaarabu basi kutwa kulia lia humu JF, mnawadhalilisha sana kina dada anakuja kwako kajigharamia mwenyewe mapouda nini unamgaragaza unamtindua wewe ukimpa kihamsini unalalamikaaaaaa sasa unatakaje?