Ali Kiba Aikana Nyumba Inayoonyeshwa Kwenye Mitandao Kuwa ni yake - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Oct 2016

Ali Kiba Aikana Nyumba Inayoonyeshwa Kwenye Mitandao Kuwa ni yake

Ally Kiba aikana nyumba inayoonekana mitandaoni wakisema ni yake, hii ni alipokua akihojiwa kwenye moja ya radio maarufu nchini
.
"Aliyekwambia mi Nina nyumba nani, naishi nyumba ya kupanga hata ingekuwa yangu mi sipendi show off ni maisha yangu" alisema