DIAMOND Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017 - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Dec 2016

DIAMOND Alamba Mamilioni ya CAF, Kutumbuiza Uzinduzi wa AFCON 2017

Shirikisho la soka barani africa CAF limemchagua diamond platnumz na kumlipa mamilioni kutumbuiza kwenye sherehe za uzinduzi wa michuano ya mataifa africa yatakayofanyika nchini Gabon maarufu kama Afcon2017

Michuano hiyo itafanyika mapema mwakani 2017

Uganda ndo taifa pekee ya africa mashariki lililofanikiwa kufuzu
Akiongea kwenye kipindi cha Times Fm manager wa diamond sallam ameongeza kuwa diamond tayari ana booking mpaka julai 2017. Kama unamtaka inabidi usubiri hadi julai