Kinana: Lowassa ni Rafiki Yangu Sitaki Kuamini Kama Ana Nongwa na Mimi - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Nov 2016

Kinana: Lowassa ni Rafiki Yangu Sitaki Kuamini Kama Ana Nongwa na Mimi

''Ni rafiki yangu, lakini kuna urafiki na kuna nchi. Binafsi nadhani sisi bado ni marafiki. Tangu uchaguzi umekwisha tumeshakutana mara nyingi, tumeshapigiana simu mara kadhaa. Tunazungumza, sitaki kuamini kwamba ana nongwa, na hata kama ana nongwa nitamuelewa. Unajua, kama nilivyosema hapo mwanzo, kuna urafiki wangu na Lowassa na kuna nchi'' - Abdulrahmaan Kinana.