Majibu ya Jux Alipoulizwa Kama ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Nov 2016

Majibu ya Jux Alipoulizwa Kama ana Mpango wa Kumuoa Vanessa au Kuzaa Nae

Msanii Jux amejibu kuwa hajui kama atakuwa na mtoto na Vanessa wala hajui kama atamuoa, ila amesema Vanessa amemsaidia kwenye maisha yake kwa kuwa kuna vitu anavijua na yeye havijui Msikie Hapa: