Video: Zuu (Jike Shupa) Aelezea Jinsi Shilole Alivyogeuka Adui - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Jun 2016

Video: Zuu (Jike Shupa) Aelezea Jinsi Shilole Alivyogeuka Adui

Jike Shupa na Shilole
Zuu amejipatia umaarufu mkubwa baada ya kuonekana kwenye video ya Nuh Mziwanda, Jike Shupa. Kilichomfanya ajulikane zaidi ni jinsi alivyofanana na Shilole. Lakini kwa sasa amedai kuwa kuna vita vikubwa kati yake na Shishi. Mtazame hapa akielezea. Video: