Kupitia mtandao wa Instagram, mrembo huyo wa Kenya ameandika ujumbe wa kumpongeza Zari na kuongeza kuwa inawezekana yeye ndio akafuata.
“Congratulations on your bundle of Joy @zarithebossladyHappy For you doll 🎊😍❤️You just raised my baby fever from 50 to 100 😩 sigh!!! Maybe I’m Next 🤔,” ameandika Vera kwenye mtandao huo.