NAY wa Mitego: Mimi Siimbagi Uwongo, Mimba ya Wema iliyeyuka, Ommy Dimpoz Tumesikia Anapumuliwa - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Dec 2016

NAY wa Mitego: Mimi Siimbagi Uwongo, Mimba ya Wema iliyeyuka, Ommy Dimpoz Tumesikia Anapumuliwa

Msanii Ney wa mitego amedai anaimba ukweli ndio maana hata aliyoyasema kwenye wimbo wake wa shika adabu yako amesema yamekuja kuthibitika ametolea mfano kuwa wema sepetu mimba yake iliyeyuka kama alivyodai, Ommy dimpoz akatajwa anapumuliwa na diamond na shetta gari yake ya milioni 100 nayo ikayeyeuka VIDEO: